Kaunti ya Kilifi yazindua sera ya kukomesha Unyanyasaji wa Kijinsia
Kaunti ya Kilifi imezindua rasmi Sera ya Kupambana na Unyanyasaji wa Kijinsia (2024-2028), mfumo mpana uliobuniwa kushughulikia na kukomesha unyanyasaji wa kijinsia (GBV). Sera inaangazia...
Mh. Isaac Matolo Ashinda Tuzo La MCA Bora TaitaTaveta
M.C.A wa kata ya Jipe Isaac Matolo achukua tuzo la MCA bora kaunti ya Taita Taveta. Katika Tuzo hilo la Starleaders Award lilimjumuisha MCA huyo...
EACC imewakamata maafisa 4 Taita Taveta
Ofisi ya mwongoza mashtaka ya DPP ameidhinisha mashtaka ya ufisadi dhidi ya maafisa wanne wa Kaunti ya Taita Taveta akiwemo mshauri wa masuala ya kiuchumi...
Mwangala Atawazwa Mwenyekiti Wa Baraza La Wachonyi
Raphael Mwangala atawazwa mwenyekiti wa baraza la wazee la Wachonyi katika sherehe iliyohudhuriwa na Gavana Mung'aro na Naibu wake Flora Mbetsa Chibule.
TaitaTaveta Mark DAPATA Cultural Festival
TaitaTaveta residents today celebrated rich culture and tradition in Taveta, marking the beginning of Dawida, Pare, Taveta (DAPATA) festival. The DAPATA festival is a unique...
B Classic Apoteza Umiliki Wa YouTube Channel Kwa Management
Msanii Dennis Manja, jina la stage B Classic kwa mara nyingine tena amepoteza umiliki wa YouTube channel yake, ikichukuliwa na management. Msanii huyo kwa mara...