Fukwe Zote za Umma Mombasa Zimefungwa
Fuo zote za umma jijini Mombasa zitafungwa kufuatia agizo la Gavana wa Mombasa Abdulswamad Sherrif Nassir.Kupitia taarifa iliyotolewa Ijumaa, Mei 23, Nassir aliamuru kufungwa kwa...
BAADHI YA WATU WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI ILIYOHUSISHA GARI LA NAEKANA
Habari za kuhuzinisha baada ya baadhi ya watu kupoteza maisha katika ajali iliyotokea eneo la Malili katika barabara kuu ya Nairobi Mombasa. Gari hilo la...
Mombasa Yakumbwa na Tetemeko Kuu la Ardhi
Kenya ilikumbwa na tetemeko la ardhi la wastani siku ya Jumapili, na kusajili ukubwa wa 4.5 karibu na miji yake ya pwani na jiji la...
Wito Wa Umoja Kushughulikia Ongezeko la Uhalifu Wa Watoto Huko Likoni
Viongozi wa kidini watoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka ili kuzuia kuzuka kwa magenge ya vijana wanaofanya vurugu katika Kaunti Ndogo ya Likoni.Rufaa za...
Gavana Andrew Mwadime aongoza viongozi wa TaitaTaveta kupatana na Naibu Raisi
Viongozi wa kaunti ya Taita Taveta leo wamekutana na Naibu Rais jijini Nairobi kwa kikao maalum cha kujadili uboreshaji ushirikiano kati ya serikali kuu na...
Wapare Wapeana Ombi La Kutambuliwa Rasmi Kama Raia Wa Kenya
Naibu wa raisi Kithure Kindiki amepokea rasmi ombi la kutetea uraia na kutambuliwa kama kabila la Wapare katika Kaunti ya Taita Taveta kama raia wa...