Mwakilishi wa wanawake wa kilifi, Getrude Mbeyu akiri kushindwa katika miradi ya maendeleo
Mwakiliishi wa wanawake kaunti ya kilifi amekiri kushindwa na miradi ya maendeleo baada ya kukabiliana na wapigakura kura wenye hasira. Mbunge huyo alikabiliana na wapiga...
IEBC yaanza zoezi la kuidhinisha wagombea ubunge Taveta mapema leo
Wawaniaji wawili ubunge eneo la Taveta mapema leo waliwakilisha vyeti vyao kwa ofisi za iebc. Leo ilikuwa zamu ya Wakili John Bwire na mshindani wake...
Marekani italinda Taiwain dhidi ya uvamizi wa China : Joe Biden
Rais Joe Biden wa Marekani amesema taifa lake litalinda Tawaian kijeshi kama China itavamia kisiwa hicho chenye kujitawala chenyewe. Joe Biden ameonya China kuwa inachezea...
Kylian Mbappe Ahakikishia Mashabiki Atasalia PSG.
Mchezaji wa PSG Kylian Mbappe amehakikishia mashabiki wake hasa wa klabu ya PSG kwamba atabakia kwa timu hiyo. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23...
Mashua ya Injini yafikia kikundi cha Imbaria, Ziwa Chala
Mheshimiwa Fundi Saleri ambaye pia ni mwakilishi wa kauti ndogo ya Bomeni, TaitaTaveta Leo amekutana na viongozi wa kikundi cha usimamizi wa ufuo cha Imbaria...