KOTI : Mackenzie, wengine 29 walishtakiwa ipasavyo katika kesi ya Shakahola
Mahakama Kuu imeamua kwamba mhubiri mwenye utata Paul Mackenzie na wengine 29 walishtakiwa ipasavyo kwa makosa 191 ya mauaji katika mauaji ya Shakahola.Uamuzi huo ulifuatia...
Kimbunga Hidaya Hakipo Tena Chaishia Nguvu Kisiwa Cha Mafia Nchini Tanzania.
Idara ya Anga nchini Kenya imetangaza kumalizika kwa Kimbunga Hidaya kilitangaza kumalizika baada ya kuanguka kwenye Kisiwa cha Mafia nchini Tanzania. Mkurugenzi wa Huduma za...
Wabunge Waidhinisha Hoja Ya Kumbandua Waziri Wa Kilimo Mithika Linturi
Mnamo Alhamisi, Mei 2, wabunge 149 walipiga kura kuendelea na mchakato wa kumtimua CS Linturi huku 36 kati yao wakiupinga. Ni 3 tu ambao hawakushiriki....
Serikali Ya Kaunti Ya Kilifi Yasambaza Mbegu Za Mahindi Na Mbolea Kwa Wakulima
Uongozi wa kaunti ya Kilifi ikiongozwa na Gavana Mung'aro imezindua rasmi mpango wa usambazaji wa mbegu za mahindi tani 66 na mbolea bila malipo, zikiwalenga...
Wagonjwa Wateseka Mombasa Huku Mgomo Wa Madaktari Ukiingia Siku Ya Pili
Madaktari katika kaunti ya Mombasa waliungana na madaktari wengine kote nchini katika mgomo baada ya serikali kukosa kutimiza matakwa yao. Akizungumza katika mkutano na waandishi...
Viongozi wa Kilifi Watishia Kuharamisha Miraa Kufuatia Hatua Ya Serikali Kupiga Marufuku ‘Mnazi’
Viongozi wa kaunti ya Kilifi wametishia kupiga marufuku Muguka, kufuatia marufuku ya hivi majuzi ya unywaji wa mvinyo unaojulikana kama ‘mnazi’ katika eneo hilo. Wakizungumza...