Marekani – Biden Anamuunga Mkono Makamu Wake Kamala Harris Kuwa Mgombea Uraisi
Rais wa Marekani Joe Biden amesema atasimama na Makamu wake wa Rais Kamala Harris kuchaguliwa kuwa mgombea mteule wa Chama cha Demokrati katika uchaguzi wa...
MAREKANI – Kamala Tunashinda Asubuhi Sana -Donald Trump
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amesema pendekezo la Kamala Harris kugombea kiti cha urais cha taifa hilo ni afueni kwake kwa kuwa Rais...
Mpango Wa Serikali Wa Kusambazaji Umeme Kwale
Serikali ya Kwale, kwa ushirikiano na serikali ya kitaifa, inatazamia kuzindua mpango muhimu wa kusambaza umeme vijijini. Hii ni kulinganga na naibu gavana wa kaunti...
Gavana Mwadime awafuta kazi washauri watatu huku kukiwa na uchunguzi wa ufisadi
Gavana wa Taita Taveta Andrew Mwadime amewafuta kazi washauri watatu kutokana na shinikizo kutoka kwa bunge la kaunti na vijana wa Gen Z.Wabunge wa Bunge...
Wanajeshi Wapiga Doria Jijini Nairobi
Wanajeshi wameungana na polisi kushika doria katika mitaa ya Nairobi huku waandamanaji wa kupinga Mswada wa Fedha wakirandaranda mitaani kuendelea kukaidi Mswada huo ambao tayari...
“Naombeni Msamaha Nilikosea Kwa Kupiga YES” Mbunge Wa Taveta Mh. Bwire
Mbunge wa Taveta Mh. John Bwire amewaomba wakaazi wa Taveta msabaha kufuatia msimamo wake bungeni baada ya kuunga mkono mswada wa fedha wa mwaka wa...