Fukwe Zote za Umma Mombasa Zimefungwa
Fuo zote za umma jijini Mombasa zitafungwa kufuatia agizo la Gavana wa Mombasa Abdulswamad Sherrif Nassir.Kupitia taarifa iliyotolewa Ijumaa, Mei 23, Nassir aliamuru kufungwa kwa...
BAADHI YA WATU WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI ILIYOHUSISHA GARI LA NAEKANA
Habari za kuhuzinisha baada ya baadhi ya watu kupoteza maisha katika ajali iliyotokea eneo la Malili katika barabara kuu ya Nairobi Mombasa. Gari hilo la...
Sudan Yavunja Uhusiano Na UAE
Sudan imetangaza kuwa itavunja uhusiano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), baada ya jeshi kuituhumu UAE kuunga mkono kikosi pinzani cha Rapid Support Forces...
RAISI RUTO ARUSHIWA KIATU AKIWA ZIARA YA KAZI.
Serikali ya Kenya imeelezea tukio la kurushiwa kiatu kwa Rais William Ruto kama la “aibu” na lisilokubalika, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Jumapili. Video...
Mombasa Yakumbwa na Tetemeko Kuu la Ardhi
Kenya ilikumbwa na tetemeko la ardhi la wastani siku ya Jumapili, na kusajili ukubwa wa 4.5 karibu na miji yake ya pwani na jiji la...
Mtawala wa kijeshi wa Niger ameapishwa kuwa rais wa nchi hiyo kwa kipindi cha mpito cha miaka mitano
Jenerali Abdourahamane Tchiani ameongoza nchi hiyo tangu 2023, baada ya kumuondoa madarakani Rais mteule wa Niger, Mohamed Bazoum. Siku ya Jumatano, Jenerali Tchiani alichukua wadhifa...