EACC Yaagiza Kusimamishwa Kwa Zabuni ya Mfumo Mpywa Wa Mapato Kilifi
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imeagiza Serikali ya Kaunti ya Kilifi kusimamisha malipo yaliyopangwa ya Sh103.8 milioni kwa ununuzi wa mfumo wa...
Mchungaji Ezekiel : Kanisa Langu Halimiliki Makafani
Mwinjilisti wa Kanisa la New Life and Prayer, Ezekiel Odero, amekanusha madai kuwa New Life Prayer Center Ministry inamiliki chumba cha kuhifadhia maiti. Akizungumza siku...
Trust Bank yatoa pedi za hedhi zinazoweza kutumika tena kwa wasichana wa shule ya Kilifi
Zaidi ya wasichana 1,100 wa shule katika Kaunti ya Kilifi watafaidika na bidhaa bora za afya ya hedhi zinazotolewa na Benki ya Diamond Trust. Mchango...
PICHA : Gavana Nassir, Pamoja na Gavana Mwadime, Wakutana na Wajumbe Kutoka Taita/Taveta Wanaoishi Mombasa
Gavana wa Mombasa, Abdulswamad Shariff Nassir, Pamoja na Gavana wa Taita Taveta, H. E Andrew Mwadime, Wakutana na Wajumbe Kutoka Jamii ya Taita/Taveta Wanaoishi Mombasa
Janet Mwawasi Oben Achaguliwa Kuwa Balozi Wa Kigali, Rwanda
Raisi William Ruto amchagua, Janet Mwawasi Oben, kuwa balozi wa kijali Rwanda katika mabadiliko ya serikali yalifanyika. Wateule hao watahojiwa Bungeni, na baada ya kuidhinishwana,...
Mbunge Wa Nyali,Mohammed Ali, aongoza Maandamano Dhidi Ya Uamuzi Wa Mahakama Kuu Kuhusu Ushoga
Mbunge wa Nyali Mohammed Ali almaarufu Jicho Pevu aongoza maandamano aandamano jijini Nairobi na Mombasa kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu kuruhusu usajili wa vyama...