Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC Karim Khan Asimamishwa Kazi Kufuatia Tuhuma za Unyanyasaji wa Kingono
Karim Khan, Mwendesha Mashtaka Mkuu wa International Criminal Court, amesimamishwa kazi kwa muda kufuatia uchunguzi wa kinidhamu unaohusiana na tuhuma za unyanyasaji wa kingono dhidi...
Malema Ahukumiwa Jela Miaka Mitano
Mwanasiasa wa upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kumiliki bunduki kinyume cha sheria na kufyatua risasi...
Israel yatangaza kumuuwa waziri wa Ulinzi wa Iran
Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz ameiambia dunia kwamba afisa mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani, ameuawa katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa na...
HAKUTAKUWA NA MAZUNGUMZO TENA, IRAN IJISALIMISHE YENYEWE
Rais wa Marekani Donald Trump amesema hakutakuwa na makubaliano yoyote kati ya nchi yake na Iran, isipokuwa taifa hilo lijisalimishe bila masharti, akisisitiza kuwa hatua...
Iran yathibitisha kifo cha kiongozi mkuu Ayatollah Ali Khamenei
Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ameripotiwa kufariki dunia, kwa mujibu wa madai ya maofisa kadhaa wa Israel. Inadaiwa mwili wake ulipatikana chini ya...
Saudi Arabia imelaani vikali mashambulizi ya Iran kulenga kambi za Marekani katika mataifa ya Qatar, Bahrain, Kuwait na UAE
Saudi Arabia imelaani vikali mashambulizi ya Iran kulenga kambi za Marekani katika mataifa ya Qatar, Bahrain, Kuwait na UAE Shirika la habari la Al Jazeera...