PSG Mbrazil Neymar Jr na mpenzi wake Bruna Biancardi wazua gumzo mtandaoni
Supa Star wa klabu ya PSG Mbrazil Neymar Jr na mpenzi wake Bruna Biancardi wamezua gumzo mtandaoni mara baada ya kuchapisha picha ya pamoja wakionyesha...
“FAMILIA INA WATOTO KIBAO NIANDIKE MALI ZANGU JINA LA MAMA, SIFANYI UJINGA WA HAKIMI” – BABALEVO
Mwanamitandao na msanii BabaLevo ameibuka na kuwashangaa wanaume wanaomuiga mchezaji Hakimi ambaye anatrend kwa kumuandikisha mama yake mzazi mali zake zote na si mkewe ambapo...
Hakuna Wimbo Umeniingizia Hela Nyingi Kushinda Wimbo Wa “Nakupenda” Jay Melody
Star wa muziki wa kizazi kipya Tanzania Jay Melody amesema mpaka sasa wimbo wake wa "Nakupenda" umemuingizia zaidi ya Shilingi mlioni (200) za Kitanzania na...
“NAENDA KAMA HAKIMI” MARIOO
Kutoka kwenye ukurasa wa instagram wa Marioo amepost picha akiwa na Paula na kuandika "Naenda Kama Hakimi" Unadhani ana maana gani?
SHABIKI ALIYEMLILIA DON JAZZY HALI NGUMU ANAUHITAJI WA MALAZI APEWA KSH. 250K
Mfanyabiashara, Mtayarishaji wa muziki ambaye ni CEO wa Lebo ya Mavins kutoka Nchini Nigeria @donjazzy amemsaidia Shabiki aliemuomba Msaada kupitia ukurasa wake wa Twitter. Shabiki...
Jaymelody kutoridhishwa na mapokezi ya video ya #Nakupenda
Melody Star wa muziki nchini Tanzania “Jaymelody” anayetamba kwa ngoma ya Nakupenda amezua gumzo mitandaoni baada ya kuonesha kutoridhishwa na mapokezi ya Video ya wimbo...