Roma Mkatoliki Asherekea Miaka Nane Ya Ndoa Na Mke Wake Nancy
Msanii wa Hip Hop Bongo, Roma na mke wake Nancy wametimiza miaka nane ya ndoa yao. Utakumbuka Roma na Nancy walifunga ndoa mwaka 2016 na...
JUMA NATURE : “Ugali” zilifanya vizuri sokoni ila sikunufaika kama ilivyotakiwa.
Msanii wa Bongofleva, Juma Nature amesema albamu zake nyingi hasa ile ya "Ugali" zilifanya vizuri sokoni ila hajanufaika kama ilivyotakiwa. Amesema kama si hivyo kwa...
“WWE” Kuandaa Pambano Kati ya nyota wa klabu ya Al Nassr Cristiano Ronaldo dhidi ya John Cena
Kampuni inayojihusisha na michezo ya mieleka duniani maarufu kama "WWE" ina mpango wa kuandaa pambano kati ya nyota wa klabu ya Al Nassr Cristiano Ronaldo...
Nay Wa Mitego Afungiwa Shows Na BASATA
Msanii wa Hip hop nchini Tanzania, Emmanuel Elibarick maarufu kama Nay wa Mitego, amelalamika kunyimwa kibali na Basata cha kufanya show yake Makambako akitaja sababu...
PICHA: Karim Mandonga yamemkuta tena.. Apigwa TKO raundi ya Tatu na Moses Golola kutoka Uganda.
PICHA HISANI YA AZAM PICHA HISANI YA AZAM
ROMA NAYE AMKATAA NAY WA MITEGO.
Baada ya Nay wa Mitego kudai kwamba wimbo wake mpya wa "Amkeni" ambao umezua gumzo baada ya kuleta utata kwamba aliyemtumia wimbo huo ni Roma...