Rais Emmerson Mnangagwa Wa Zimbabwe Ametangazwa Mshindi Uchaguzi Wa Rais Wa Agosti 23
Mnangagwa ameshinda kwa kura asilimia 52.6 dhidi ya mpinzani wake Nelson Chamisa aliyepata asilimia 44. Matokeo hayo ya Uchaguzi mkuu nchini humo yametangazwa usiku wa...
10 Dead Including Wagner boss, Yevgeny Prigozhin, Feared dead in a plane crash in Russia
Wagner boss Yevgeny Prigozhin was on the passenger list of a plane which crashed in Russia, killing all 10 on board. He was believed to...
Mkuu wa shirikisho la soka la Uhispania Rubiales alikosolewa kwa kumbusu mchezaji Jenni Hermoso
Kashfa yalipuka nchini Hispania kwa sababu rais wa shirikisho la soka la Hispania, Luis Rubiales, alimbusu mshambuliaji wa Uhispania Jenni Hermoso wakati wakijipongeza baada ya...
Ombaomba tajiri zaidi duniani Bharat Jain ana thamani ya Sh184,405,062.40.
Mwanaume mmoja huko nchini India, Bharat Jain, amejipatia dola 890,708 kwa kuhangaika mitaani. Sasa anaitwa "Ombaomba Tajiri Zaidi Duniani" Licha ya mwanzo wake duni, Bharat...
AL-SHABAAB WAUA WANAJESHI 54 RAIA WA UGANDA
Takriban wanajeshi 54 wa Uganda akiwemo kamanda mmoja waliuawa na al-shabaab wakati wa shambulizi nchini Somalia wiki moja iliyopita, Rais Yoweri Museveni amethibitisha.Hii ni baada...