Diamond Platnumz ameuwasilisha rasmi wimbo wake ka Tuzo za Grammy
Diamond Platnumz ameuwasilisha rasmi wimbo wake wa "Komasava" Recording Academy ambao huandaa Tuzo za muziki duniani za Grammy kwenye vipengele 2 tofauti. Komasava umewasilishwa kwenye...
Mtangazaji wa kituo cha Wasafi FM kupitia kipindi cha “Mashamsham”, Dida Shaibu afariki Dunia.
Mtangazaji wa Wasafi FM kupitia kipindi cha 'Mashamsham', Khadija Shaibu maarufu kama Dida alifariki Dunia usikuwa Ijumaa, Oktoba 4, 2024 baada ya kuugua na kulazwa...
Tyrese Gibson kufungwa baada kushindwa kulipa malipo ya mtoto.
Muigizaji na mwimbaji Tyrese Gibson aliagizwa kufungwa baada kushindwa kwake kulipa malipo ya mtoto. Agizo la mahakama lililotolewa Jumatatu linaonyesha jaji wa Kaunti ya Fulton...
Huddah Monroe Hits Back At Mp Peter Salasya,refunds kSh 10,000 he had sent her.
Huddah Monroe Hits Back At Mp Peter Salasya,refunds kSh 10,000 he had sent her. "Mimi Si Kienyeji Bro Tafuta Size Yako,this Guy Sent Me 10,000kshs...
Hatuna ugomvi ni ushindani wa kazi – Ali Kiba
MSANII wa Bongo fleva Ali Kiba amesema kuwa hakuna ugomvi baina yake na msanii mwenzake Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' bali ni ushindani wa kazi zao...
“Sio kwamba nimemiss sana hapana hila mahusiano yangu na Alikiba yalikuwa matamu na nilikuwa na enjoy sana”,
Mwigizaji wa filamu za bongo movie Jackline wolper aliwaikuulizwa katika wanaume wote aliowai kutoka nao yupi ni EX wake bora? Majibu ya wolper akasema; kwangu...