Otile Brown receives YouTube Golden Plaque. Becomes the first Kenyan Musician to Surpass 1 Million YouTube Subscribers.
Otile Brown has been awarded a golden YouTube plaque award to congratulate him on his YouTube subscriptions. The YouTube Creator Awards, commonly known as YouTube Play...
UMEWAHI JIPATA KWA MATATIZO NA UKAHISI JAMII IMEKUTENGA?
Msanii Macoroma ameimba wimbo akimshirikisha msanii Subiri Jay akieleza hisia zake kuhusu swala nzima la jamii kutenga wengine wanapopatwa na matatizo. Video ikionyesha msanii huyo...
Wimbo wa Otile Brown aliomshirikisha Harmonize “Woman” waingia rekodi ya nyimbo zilizotazamwa zaidi nchini Kenya chini ya masaa 48
Wimbo wa mwanamziki wa Kenya Otile Brown aliomshirikisha Harmoize wa Tanzania utazamwa mara milioni 1 ndani ya saa 48 pekee kwa akaunti ya youtube.Nyota huyo...
BURUDANI VIDEO IKO JIKONI, Mko tayari kwa kilipuzi? – Mlolwe Classic .
Msanii Mlolwe Classic asema video ya ngoma yake ya Burudani iko jikoni. Kupitia ukurasa wa facebook, Msanii huyo aliweza kuwafahamisha mashabiki wake kuwa hivi karibuni...
Huzuni na Simanzi imewakumbuka wafanyikazi na wasikilizaji wa Capital FM baada ya Alex Nderi almaarufu kama DJ Lithium kuaga dunia baada ya kunywa Sumu ya Panya akiwa ofisini.
Huzuni na Simanzi umewakumbuka wafanyikazi na wasikilizaji wa Capital FM baada ya Alex Nderi almaarufu kama DJ Lithium kunywa Sumu ya Panya akiwa ofisini. Aliipenda...
Ombi langu mwaka huu nataka nipate mume mzungu na mwenye ela – Rose Muhando
Mwaramuziki maarufu nchini Tanzania, Rose Muhando amewatia hofu mashabiki wake baada ya kufunguka kuwa anataka maume Mzungi tajiri. Msanii huyo wa Injili alifunguka hayo alipokuwa...