Kizaazaa Mahakama ya Malindi baada ya mwanaume wa umri wa miaka 68 kulilia kucheleweshwa kwa haki
Kizaazaa kiliweza kushuhudiwa katika mahakama ya Malindi siku leo tare 19 Oct, baada ya mwanamume anayekabiliwa na mashtaka ya ulaghai alipoanza kupiga kelele kwa madai...