“Rayvanny Hatoweza Kumpata Mwanamke Bora Kama Mimi” ~Fayhma.

Share this story

Mrembo Fayhma ameshindwa kujizuia kutoa ya moyoni baada ya kubwagana na mpenzi wake na baba mtoto wake ambaye ni msanii Rayvanny.

Fayhma ameandika ujumbe unaosomeka hivi:

“Utafanya yote na utapata wengi ila hawata kuwa bora kama mimi.”


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Derby ya mashindano ya ngamia yafanyika mombasa
Next post Hundreds of Health Facilities Closed over SHA Fraud