MSHIKA KIBENDERA, Rodriguez Moreno jana aliipata pesa yake kwa mateso sana, hapo sio katika jukwaa la maonesho ya wapiga sarakasi bali hapo ni uwanjani.
Ni mchezo wa Laliga Espanyol Vs Atletico Madrid, Moreno alijikuta chini baada ya kugongana na mchezaji wa Atletico, Giuliano Simeone.
Mwamuzi huyo hakuumia na aliendelea na majukumu yake kama kawaida.