Wakaazi wa Mkocheni, Taveta wabaki bila Makao
Zaidi ya wakazi 300 wa Mkocheni eneo bunge la Taveta kaunti ya Taita Taveta wamejipata bila makao baada ya nyumba zao kubolewa usiku wa kuamka...
BAADHI YA WATU WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI ILIYOHUSISHA GARI LA NAEKANA
Habari za kuhuzinisha baada ya baadhi ya watu kupoteza maisha katika ajali iliyotokea eneo la Malili katika barabara kuu ya Nairobi Mombasa. Gari hilo la...
Wapare Wapeana Ombi La Kutambuliwa Rasmi Kama Raia Wa Kenya
Naibu wa raisi Kithure Kindiki amepokea rasmi ombi la kutetea uraia na kutambuliwa kama kabila la Wapare katika Kaunti ya Taita Taveta kama raia wa...
Finali Ya Wakili Bwire Tournament Jumanne
Hatimaye tournament ya wakili Bwire Msimu wa 2024 itafikia mwisho pale msindi atapatikana kati ya Chala FC na Majengo FC. Mechi zitaanza kwa kutafuta mshindi...
Wakili Bwire Super Cup Yarejea Rasmi.
Mbunge wa Taveta Wakili Bwire ametangaza kurejea kwa Wakili Bwire Super cup. Kupitia ukurasa wake rasmi wa facebook mbunge huyo ametangaza kurejea kwa mashindano hayo...
“Naombeni Msamaha Nilikosea Kwa Kupiga YES” Mbunge Wa Taveta Mh. Bwire
Mbunge wa Taveta Mh. John Bwire amewaomba wakaazi wa Taveta msabaha kufuatia msimamo wake bungeni baada ya kuunga mkono mswada wa fedha wa mwaka wa...