EACC imewakamata maafisa 4 Taita Taveta
Ofisi ya mwongoza mashtaka ya DPP ameidhinisha mashtaka ya ufisadi dhidi ya maafisa wanne wa Kaunti ya Taita Taveta akiwemo mshauri wa masuala ya kiuchumi...
Mwangala Atawazwa Mwenyekiti Wa Baraza La Wachonyi
Raphael Mwangala atawazwa mwenyekiti wa baraza la wazee la Wachonyi katika sherehe iliyohudhuriwa na Gavana Mung'aro na Naibu wake Flora Mbetsa Chibule.
TaitaTaveta Mark DAPATA Cultural Festival
TaitaTaveta residents today celebrated rich culture and tradition in Taveta, marking the beginning of Dawida, Pare, Taveta (DAPATA) festival. The DAPATA festival is a unique...
B Classic Apoteza Umiliki Wa YouTube Channel Kwa Management
Msanii Dennis Manja, jina la stage B Classic kwa mara nyingine tena amepoteza umiliki wa YouTube channel yake, ikichukuliwa na management. Msanii huyo kwa mara...
Makachero wanasa heroini, dawa zingine katika operesheni Pwani
Polisi wamenasa aina kadhaa za dawa za kulevya katika operesheni huko Pwani.Kulingana na taarifa ya Kurugenzi ya Uchunguzi wa Makosa ya Jinai, dawa za kulevya...
Wakili Bwire Super Cup Yarejea Rasmi.
Mbunge wa Taveta Wakili Bwire ametangaza kurejea kwa Wakili Bwire Super cup. Kupitia ukurasa wake rasmi wa facebook mbunge huyo ametangaza kurejea kwa mashindano hayo...