Kylian Mbappe Ahakikishia Mashabiki Atasalia PSG.
Mchezaji wa PSG Kylian Mbappe amehakikishia mashabiki wake hasa wa klabu ya PSG kwamba atabakia kwa timu hiyo. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23...
Mashua ya Injini yafikia kikundi cha Imbaria, Ziwa Chala
Mheshimiwa Fundi Saleri ambaye pia ni mwakilishi wa kauti ndogo ya Bomeni, TaitaTaveta Leo amekutana na viongozi wa kikundi cha usimamizi wa ufuo cha Imbaria...
Nassir amchagua Mwanahabari Francis Thoya kama mgombea mwenza
Mgombea wa ugavana Mombasa kwatikiti ya ODM Abdulswamad Nassir amemtambulisha aliyekuwa mwanahabari wa Nation Francis Thoya kuwa mgombea mwenza katika kinyang'anyiro cha ugavana Thoya alihudumu...
Kalonzo Apeleka Kampeni Za Wiper Eneo La Taveta, Amshika Mkono Wakili Bwire
Mh. Kalonzo Musyoka na kikosi cha Wiper party, hapo jana kilipeleka kampeni za wiper mjini Taveta. Chama cha Wiper kinawania kushinda viti vya siasa eneo...
Alichokisema Mh. Raila Odinga kuhusu Gavana Kingi katika ziara yake ya kampeni Kilifi
https://youtu.be/AHo9t4Urz40
Kalonzo azuiwa kuandaa mkutano wa umma mjini Mombasa
Nyufa zinazidi kujitokeza katika muungano wa Azimio La Umoja One Kenya aliance baada ya serikali ya Mombasa kumnyima Kalonzo Musyoka kufanya mkutano wa umma kwa...