Serikali Ya Kaunti Ya Kilifi Yasambaza Mbegu Za Mahindi Na Mbolea Kwa Wakulima
Uongozi wa kaunti ya Kilifi ikiongozwa na Gavana Mung'aro imezindua rasmi mpango wa usambazaji wa mbegu za mahindi tani 66 na mbolea bila malipo, zikiwalenga...
Wagonjwa Wateseka Mombasa Huku Mgomo Wa Madaktari Ukiingia Siku Ya Pili
Madaktari katika kaunti ya Mombasa waliungana na madaktari wengine kote nchini katika mgomo baada ya serikali kukosa kutimiza matakwa yao. Akizungumza katika mkutano na waandishi...
Viongozi wa Kilifi Watishia Kuharamisha Miraa Kufuatia Hatua Ya Serikali Kupiga Marufuku ‘Mnazi’
Viongozi wa kaunti ya Kilifi wametishia kupiga marufuku Muguka, kufuatia marufuku ya hivi majuzi ya unywaji wa mvinyo unaojulikana kama ‘mnazi’ katika eneo hilo. Wakizungumza...
Cha Mackenzie Bado Jikoni, Mahakama Yakataa Kumwachilia Kwa Dhamana
Mahakama ya Mombasa imekataa kutoa dhamana kwa kiongozi wa kidini Paul Mackenzie pamoja na wazazi 38 wa watoto waliookolewa kutoka msitu wa Shakahola, kwa sababu...
Mtoto Ametelekezwa Katika Kituo Cha Soko Huko Taveta
Mapema Alhamisi asubuhi mtoto mchanga alipatikana akiwa ametelekezwa katika kituo cha Soko la Njukini eneo bunge la Taveta. Mtoto huyo wa kike, ambaye umri wake...
Mwanahabari wa Mombasa, Fatma Rajab, Afariki Dunia
Mwanahabari wa Mombasa Fatma Rajab, mwenye umri wa miaka 27 amefariki dunia baada ya kuugua. Mwanahabari huyo alikuwa amepelekwa katika chumba cha wagonjwa mahututi cha...