Afueni kwa Seneta Mungatana baada ya Mahakama kutoa muelekeo w Kesi ya Ksh76 Milioni
Afueni kwa Seneta wa Tana River Danson Mungatana baada ya mahakama kutoa muelekeo wa kesi ambapo alikuwa ameshtaki raia wa Chad kwa kumtapeli Ksh76 milioni....
Raisi Ruto aagiza Shirika la Huduma ya Wanyamapori nchini (KWS) kutenga asilimia 40 ya nafasi wakati wa kuajiri walinzi kwa jamii zinazohifadhi mbuga za kitaifa
Rais William Ruto ameagiza Shirika la Huduma ya Wanyamapori nchini (KWS) kutenga asilimia 40 ya nafasi wakati wa kuajiri walinzi kwa jamii zinazohifadhi mbuga za...
Mary Wanyonyi aapishwa katika tume ya ugavi wa raslimali.
Mary Wanyonyi alikula kiapo cha kazi mbele ya Jaji Mkuu Martha Kome katika mahakama ya upeo, Wanyonyi, kama mwenye kiti katika tume ya ugavi wa...