Roma Mkatoliki Asherekea Miaka Nane Ya Ndoa Na Mke Wake Nancy
Msanii wa Hip Hop Bongo, Roma na mke wake Nancy wametimiza miaka nane ya ndoa yao. Utakumbuka Roma na Nancy walifunga ndoa mwaka 2016 na...
PICHA : Diamond Platnumz Asherekea Siku ya Kuzaliwa Na Mtoto Wake Naseeb
Diamond Platnumz ameachia picha mpya akiwa na mtoto wake wa mwisho, Naseeb Jr ambaye wamezaliwa siku moja. Utakumbuka Diamond amejaliwa mtoto huyo na Mwanamitindo na...
JUMA NATURE : “Ugali” zilifanya vizuri sokoni ila sikunufaika kama ilivyotakiwa.
Msanii wa Bongofleva, Juma Nature amesema albamu zake nyingi hasa ile ya "Ugali" zilifanya vizuri sokoni ila hajanufaika kama ilivyotakiwa. Amesema kama si hivyo kwa...
Tuzo La AFRIMMA. NADIA Baadhi Ya Wasanii Waliotunzwa
Toleo la 8 la Tuzo la 'All Africa Music Awards' AFRIMMA lilifanyika Dakar, nchini Senegal,huku ikishuhudia baadhi ya wasanii mashuhuri zaidi barani Afrika wakipewa sifa...
Nay Wa Mitego Afungiwa Shows Na BASATA
Msanii wa Hip hop nchini Tanzania, Emmanuel Elibarick maarufu kama Nay wa Mitego, amelalamika kunyimwa kibali na Basata cha kufanya show yake Makambako akitaja sababu...
Alichoandika QChief baada ya Juma Nature kusema Amekataa Laki Tano Ya WasafiFestival
Baada ya msanii mkongwe, Juma Nature kuweka wazi sababu za kutofika kufanya show ya Wasafi Festival, Mtwara kisa walitaka kumlipa Shilingi Laki 5 (500,000/=) kitu...