Africa Mashariki Imezindua Mfumo Wa Dhamana wa EACBond

Share this story

Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC leo imezindua 𝑬𝑨𝑪𝑩𝒐𝒏𝒅, dhamana ya kikanda ya udhamini wa biashara.

Hatua hiyo, inachukua nafasi ya hitaji la dhamana nyingi za kitaifa wakati wa kusafirisha bidhaa katika nchi wanachama.

Jumuiya hiyo inasema kuwa EACBond itapunguza kwa kiasi kikubwa gharama za biashara, kupunguza ucheleweshaji mipakani na kukomboa mtaji wa biashara.


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Manchester United yajishindia taji la Premier League Summer Series huko Marekani
Next post Construction, Upgrade of Nithi Bridge Blackspot Set to Begin, Ruto Announces