Wapare Wapeana Ombi La Kutambuliwa Rasmi Kama Raia Wa Kenya
Naibu wa raisi Kithure Kindiki amepokea rasmi ombi la kutetea uraia na kutambuliwa kama kabila la Wapare katika Kaunti ya Taita Taveta kama raia wa Kenya.
Jamii hiyo, ambayo imeishi nchini kwa vizazi vingi, imekuwa ikitaka kutambuliwa rasmi kama kabila la Kenya,kama yalivyo tambuliwa makabila ya Washona, Wapemba na Wamakonde.