
Israel Yazidisha Mashambulia Ya Anga Iran!
Israel imeanzisha mashambulizi makubwa ya anga dhidi ya Iran usiku wa kuamkia leo.
Vituo vilivyolengwa ni vya kiwango cha juu, vikiwemo:
Kambi ya kijeshi ya Basij
Makao makuu ya IRGC (Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu) yaliyopo mjini Tehran

Hili linaashiria kuongezeka kwa mvutano wa kijeshi kati ya mataifa haya mawili makubwa ya Mashariki ya Kati, na huenda likaleta athari kubwa kwa usalama wa kanda nzima na hata dunia nzima.
Wataalamu wa masuala ya kimataifa wanaonya kuwa hatua hii inaweza kusababisha vita kamili iwapo hali haitadhibitiwa mapema.
