Viongozi wa UDA Taveta waongoza sherehe ya kusherekea ushindi wa Ruto
Viongozi wa UDA na mashabiki wa muungano wa UDA siku ya leo tarehe 17 mosi, waliongoza sherehe ya kusherekea ushindi wa Wiliam Ruto kama raisi...
Kata Ya Mata: Safari ya mwisho ya aliyekuwa mjumbe wa bunge la kaunti Marehemu Nobert Chanzu Khamadi
Hali ya huzuni na majonzi ilifunika eneo la Cess, kata ya Mata, kaunti ya TaitaTaveta katika safari ya mwisho ya kumuaga aliyekuwa mjumbe wa bunge...
Naomi Asema Bye! Bye! kwa siasa za Taveta, Amuunga mkono Mh.Bwire
Aliyekuwa mbunge wa Taveta mh. Naomi Shabani amesema kwanza amejiondoa rasmi kwa siasa za Taveta na hatasimama tena kuwania ubunge wa Taveta mwaka wa 2027....
????-??????? ?????? ?????????? ????? ?????? ?? ??????? ??????? ???????? ??????, ???????????? ??? competitor ?????? ???? ?????
????-??????? ?????? ?????????? ????? ?????? ?? ??????? ??????? ???????? ??????, ???????????? ??? ????? ?????? ???? ????? She congratulated her competitor Bwire Okano of Wiper party....
Mbunge wa Taveta, Daktari Naomi Shabani akutana na wakazi wa Nairobi kuwarai kumpa kura mwezi wa Agosti
Mbunge wa Taveta, Dr Naomi Shaban, alikutana na wapiga kura wa Taveta wanaoishi Nairobi siku ya Jumapili, tarehe 30, katika harakati zake za kuwarai wampe...