𝐖𝐀𝐊𝐔𝐉𝐀𝐀 𝐀𝐎𝐍𝐆𝐎𝐙𝐀 𝐕𝐈𝐎𝐍𝐆𝐎𝐙𝐈 𝐊𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐊𝐀𝐎 𝐍𝐀 𝐍𝐀𝐈𝐁𝐔 𝐑𝐀𝐈𝐒.
Viongozi wa kaunti ya Taita Taveta leo wamekutana na Naibu Rais jijini Nairobi kwa kikao maalum cha kujadili uboreshaji ushirikiano kati ya serikali kuu na...
Wapare Wapeana Ombi La Kutambuliwa Rasmi Kama Raia Wa Kenya
Naibu wa raisi Kithure Kindiki amepokea rasmi ombi la kutetea uraia na kutambuliwa kama kabila la Wapare katika Kaunti ya Taita Taveta kama raia wa...
Finali Ya Wakili Bwire Tournament Jumanne
Hatimaye tournament ya wakili Bwire Msimu wa 2024 itafikia mwisho pale msindi atapatikana kati ya Chala FC na Majengo FC. Mechi zitaanza kwa kutafuta mshindi...
Wundanyi : Eneo La Paranga Kufaidi Mradi Wa Umeme
Rais William Ruto hapo jana alizindua Mradi wa Usambazaji Umeme wa REREC Paranga huko Wundanyi, Kaunti ya Taita Taveta. Mpango huu ni sehemu ya juhudi...
Mh. Isaac Matolo Ashinda Tuzo La MCA Bora TaitaTaveta
M.C.A wa kata ya Jipe Isaac Matolo achukua tuzo la MCA bora kaunti ya Taita Taveta. Katika Tuzo hilo la Starleaders Award lilimjumuisha MCA huyo...
EACC imewakamata maafisa 4 Taita Taveta
Ofisi ya mwongoza mashtaka ya DPP ameidhinisha mashtaka ya ufisadi dhidi ya maafisa wanne wa Kaunti ya Taita Taveta akiwemo mshauri wa masuala ya kiuchumi...