“Raundi Hii Siongei Na Mtu” Viongozi Wa ODM Wa Pwani Wamwidhinisha Joho Kuwa Rais 2027
Aliyekuwa Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho amesema hatamsikiliza yeyote anayemshauri kusitiza azma yake ya urais. Joho alisema kuna wanachama wenzake wa chama cha ODM...
WAKAAZI WA WADI 30 KAUNTI YA MOMBASA KUFAIDI VYANDARUA ZA MBU
Ili kuimarisha vita dhidi ya kuenea kwa Malaria, gavana wa Mombasa Nasir akiwa na afisa WA kutoka kwa KEMSA, Andrew Mulwa, walizindua shehena ya vyandarua...
Gavana Wakujaa Atofautiana Na Serikali Kuu, Tatizo Ufungaji Wa Baa Katika Kaunti Yake.
Gavana wa Taita Taveta Andrew Mwadime ametofautiana na serikali kuu kuhusu hatua ya kufunga baa katika kaunti yake. Kulingana na gavana huyo, Serikali ya Kitaifa...
Kamishna wa kaunti ya Lamu Louis Ronoh amefariki
Kamishna wa kaunti ya Lamu Louis Kipngetich Ronoh amefariki. Kifo chake kilitangazwa na Maafisa wa Kitaifa wa Utawala wa Serikali (NGAOs) katika taarifa Alhamisi jioni....
TAITATAVETA COUNTY SET HOST TREE PLANT EVENT AT KISHENYI DAM AS WORLD CELEBRATE TREE PLANTING DAY TOMORROW
March 21st is also World Planting Day. This day is dedicated to planting whatever you possibly can, from trees, flowers to vegetables, but also spreading awareness...
AJALI YA WANAFUNZI WA KENYATTA: SERIKALI YA KAUNTI YA TAITATAVETA KUSIMAMIA GHARAMA ZA MATIBABU
Serikali ya kaunti ya Taita Taveta imetangaza kusimamia gharama zote za matibabu kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Kenyatta waliohusika kwa ajali huko Maungu kwenye...