CS Joho tours the Voi Gemstone Value Addition and Marketing Centre
Mining and Blue Economy CS Hon. Ali Hassan Joho visited Kishushe area in Taita Taveta county accompanied by local leader where they discussed the key...
Aisha Jumwa azomewa baada ya kudokeza kwamba Ruto anaweza kuteuliwa tena kuwa baraza la mawaziri
Shida ilianza pale Jumwa ambaye alikuwa akihutubia mkutano huko Kilifi alidokeza kurejea katika baraza la mawaziri la Ruto baada ya kuundwa upya. Umati huo uliweka...
Mpango Wa Serikali Wa Kusambazaji Umeme Kwale
Serikali ya Kwale, kwa ushirikiano na serikali ya kitaifa, inatazamia kuzindua mpango muhimu wa kusambaza umeme vijijini. Hii ni kulinganga na naibu gavana wa kaunti...
Gavana Mwadime awafuta kazi washauri watatu huku kukiwa na uchunguzi wa ufisadi
Gavana wa Taita Taveta Andrew Mwadime amewafuta kazi washauri watatu kutokana na shinikizo kutoka kwa bunge la kaunti na vijana wa Gen Z.Wabunge wa Bunge...
“Naombeni Msamaha Nilikosea Kwa Kupiga YES” Mbunge Wa Taveta Mh. Bwire
Mbunge wa Taveta Mh. John Bwire amewaomba wakaazi wa Taveta msabaha kufuatia msimamo wake bungeni baada ya kuunga mkono mswada wa fedha wa mwaka wa...
Wakaazi wa Mombasa Waandamana katika Ofisi ya Mohammed Ali Kupinga Mswada wa Fedha
Wakazi wa Nyali Jumatatu waliandamana nje ya afisi ya Mbunge wa Nyali Mohammed Ali kaunti ya Mombasa.Wakazi hao walikerwa na kutokuwepo kwa Ali huku wabunge...