DP Ruto Awasili katika hafla ya Mudavadi Bomas
Naibu Rais William Ruto amewasili katika hafla ya kiongozi wa Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi iliyofanyika Bomas of Kenya katika eneo la Lang'ata Nairobi....
Moi, Jimi Wanjigi na Kalonzo watoka kwa mkutano wa wajumbe wa chama cha ANC
Mfanyibiashara Jimi Wanjigi, Seneta Gideon Moi, kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka walionekana wakitoka nje ya chumba cha mkutano kwa nguvu. Washirika wa Ruto pia walionekana...
Raila atishia kujiondoa kwenye kinyang’anyiro cha urais
Kiongozi wa Orange Democratic Movement (ODM), anayewania kiti cha uraisi kupitia muungano wa umoja, Raila Odinga, amewaeleza wafuasi wake kuwa huenda akaachana na azma yake...
MC Jessy (Muthomi) joins UDA to Mr Muthomi will contest for the South Imenti parliamentary seat.
MC Jessy (Muthomi) joins UDA to Mr Muthomi will contest for the South Imenti parliamentary seat. Deputy President William Ruto welcomes Jasper Muthomi AKA MC...
Mudavadi Kutoa Tamko Kuu Litakalo Sambaratisha Mazingira ya Siasa Nchini Wakati Wa Kongamano La Kitaifa La Wajumbe Wa ANC Tarehe 23 January, 2022
Kinara wa OKA Musalia Mudavadi amesema atatangaza mwelekeo wake siku ya Kongamano La Kitaifa La Wajumbe Wa ANC itakayao fanyika tarehe 23/10/2021. Kiongozi wa chama...
Wilson Sossion says Raila Betrayed And Set Him Up
Former Kenya National Union of Teachers (KNUT) SG Wilson Sossion has taken a swipe at former Prime Minister Raila Odinga for not protecting him despite...