Wimbo Wa ‘Mtasubiri’ Wa Diamond Na Zuchu Wapigwa Marufuku Tanzania
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) iliipiga marufuku video ya Diamond aliyomshirikisha Zuchu ya "Mtasubiri" kufuatia malalamishi ya baadhi ya waumini wa madhebehu ya dini...
Rajab Abdul Kahali, almaarufu Harmonize Atiwa Mbaroni jijini Naironi kwa madai ya kujipatia pesa kwa njia ya uwongo.
Mkurugenzi wa klabu ya Nairobi anataka mwimbaji wa Tanzania Harmonize kurejesha pesa ambazo wateja wake walilipa kwa ajili ya tamasha lililofanyika Jumamosi usiku. Mkurugenzi wa...
Kesi ya kupiga Sonko kuwania kiti cha ugavana Mombasa yaanza leo
Kesi iliyowakilishwa kwa koti ya Mombasa na wakaazi wawili, Ndoro Kayuga na George Odhiambo, kupitia wakili wao Willis Oluga, ya kupiga azma ya aliyekuwa gavana...
Aliyekuwa Gavana wa Nairobi, Mike Mbuvi Sonko ajiunga na kinyang’anyiro cha ugavana Mombasa kupitia tiketi ya Wiper
Mwanasiasa mahiri na aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko, ametangaza rasmi kujiunga na siasa za kumrithi Hassan Joho kama gavana wa pili wa Mombasa...
Kura ya mchujo wa ODM mjini Mombasa wakumbwa na ghasia
Ghasia na machafuko ya kisiasa ulikikumba chama cha ODM hapo jana mjini Mombasa wakati kikifanya mchujo wa wanachama wake watakao peperusha tikiti mwezi wa August....
?????? ?? ?????? ?????? ???????? ?? ??????? ?? ????? ????? ???? ???? ????????????? ????? ?? ????? ???? ??? ??????? ???????.
Hapo jana wafuasi wa bongo movie na mashabiki wa aliyekuwa movie star wa Filamu za kibongo marehemu Steven Kanumba, waliweza kuadhimisha mwongo mmoja tokea kufariki...