𝐒𝐭𝐞𝐩𝐡𝐞𝐧 𝐌𝐰𝐚𝐤𝐞𝐬𝐢 𝐨𝐧 𝐓𝐚𝐢𝐭𝐚𝐓𝐚𝐯𝐞𝐭𝐚 𝐇𝐞𝐚𝐥𝐭𝐡 𝐒𝐭𝐚𝐭𝐮𝐬 – 𝐉𝐢𝐜𝐡𝐨 𝐋𝐚 𝐓𝐚𝐢
https://youtu.be/VuFPof7XE7g
Mzee Savalanga Akizungumza Eneo La Chala,Taveta – JICHO LA TAI
𝑰𝑳𝑰 𝑲𝑼𝑷𝑼𝑵𝑮𝑼𝒁𝑨 𝑼𝑶𝑵𝑮𝑶 𝑾𝑨 𝑾𝑨𝑵𝑨𝑺𝑰𝑨𝑺𝑨 𝑲𝑾𝑨 𝑾𝑨𝑵𝑨𝑵𝑪𝑯𝑰 𝑻𝑼𝑵𝑨𝑷𝑶𝑬𝑳𝑬𝑲𝑬𝑨 𝑼𝑪𝑯𝑨𝑮𝑼𝒁𝑰 𝑾𝑨 𝑴𝑾𝑨𝑲𝑨 𝑯𝑼𝑼, 𝑵𝑮𝑨𝑺𝑼 𝑴𝑬𝑫𝑰𝑨 𝑰𝑵𝑨𝑲𝑼𝑳𝑬𝑻𝑬𝑨 "𝑱𝑰𝑪𝑯𝑶 𝑳𝑨 𝑻𝑨𝑰' 𝑵𝑨 𝑻𝑼𝑻𝑨𝑲𝑼𝑾𝑨 𝑻𝑼𝑵𝑨𝑵𝑼𝑲𝑼𝑼 𝑩𝑨𝑨𝑫𝑯𝑰 𝒀𝑨 𝑺𝑬𝑴𝑰 𝑵𝑨...
Nikitembea barabarani sipati hata kamwanaume kakinisimamisha n kuniomba number hata wa salamu tu hakuna kama kitambo – Mrembo Alalama
Mrembo mmoja Taveta amejitwika jukumu na kueleza masaibu wasichana mjini Taveta wanapitia. Kulingana na malalamishi aliyotoa Vijana Taveta wamezembea kazi. Msichana anatoka nyumbani kwao akitembea...