Mwanaisha Chidzuga Ateuliwa Naibu Msemaji Wa Serikali
Rais William Ruto alifanya mabadiliko makubwa katika serikali yake pamoja na kumteua aliyekuwa Seneta Mteule Isaac Mwaura kuwa Msemaji wa Serikali. Gabriel Muthuma na Mwanaisha...
Rais William Ruto amuongeza Waziri Mkuu Musalia Mudavadi majukumu zaidi katika mabadiliko ya baraza la mawaziri
Rais William Ruto amefanya mabadiliko ya Makatibu Wakuu wanane kwa wizara mbalimbali katika mabadiliko ya hivi punde ya baraza la mawaziri yaliyolenga kulainisha utendakazi huku...
Spika wa Baraza La Wawakilishi La Marekani Atimuliwa
Kevin McCarthy ametimuliwa kama spika wa Baraza la Wawakilishi katika uasi wa kikatili na wa kihistoria wa Warepublican wa siasa kali za mrengo wa kulia...
Roma Mkatoliki Asherekea Miaka Nane Ya Ndoa Na Mke Wake Nancy
Msanii wa Hip Hop Bongo, Roma na mke wake Nancy wametimiza miaka nane ya ndoa yao. Utakumbuka Roma na Nancy walifunga ndoa mwaka 2016 na...
JUMA NATURE : “Ugali” zilifanya vizuri sokoni ila sikunufaika kama ilivyotakiwa.
Msanii wa Bongofleva, Juma Nature amesema albamu zake nyingi hasa ile ya "Ugali" zilifanya vizuri sokoni ila hajanufaika kama ilivyotakiwa. Amesema kama si hivyo kwa...
ZIPAPA TENA: Chirau Ali Mwakwere Achaguliwa kuwa Msemaji wa Jamii ya Digo
Aliyekuwa Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje Chirau Ali Mwakwere sasa ndiye msemaji wa Jamii ya Digo. Mwakwere alichaguliwa katika wadhifa huo na jamii...