Real Madrid Yapinga Vikali Mchezo wa LaLiga Kuchezwa Nje ya Hispania.
Klabu ya Real Madrid CF imetoa tamko rasmi likieleza kupinga vikali pendekezo la kuchezwa kwa mchezo wa raundi ya 17 ya Ligi Kuu ya Hispania...
CAF Disciplinary Board hits Kenya with fines over CHAN 2024 Security breaches.
BREAKING: Kenya fined $50,000 (nearly Ksh 6.5 million) for “multiple safety and security breaches” at Kasarani Stadium during game against Morocco. CAF Disciplinary Board threatens...
ISAK ATANGAZA KUHITIMISHA SAFARI YAKE NEWCASTLE
Alexander Isak amethibitisha kuwa hatavaa tena jezi ya Newcastle United. Hata kama dirisha la usajili litafungwa bila yeye kuondoka, nyota huyo wa Sweden anaona muda...
Tottenham waanza mazungumzo rasmi kumsajili Savinho kutoka Manchester City
Klabu ya Tottenham Hotspur imeanza mazungumzo ya moja kwa moja na Manchester City kwa ajili ya kumsajili winga chipukizi Savinho. Vyanzo vinaeleza kuwa mazungumzo bado...
MZIZE ANUKIA ESPERANCE
Mzize anaweza kuelekea Tunisia karibuni, hii ni baada ya Esperance de Tunis kutuma ofa mpya ya Tsh 2.4B ($1M) baada ya pendekezo la awali kukataliwa....