Willy Pose Azua Fujo kwa Tamasha La Furaha Festival Kisa Diamond Platnumz
Msanii wa kenya willy paul alifanya fujo jana kwenye tamasha la Furaha festival akitaka yeye awe wakwanza kupafomu nakumfanya diamond platnumz asusie jukwaa la la tamasha ilo.
Wasimamizi wa Diamond Platnumz hawakukubaliana na wasimamizi wa Willy Paul msafi kuhusu nani atapanda jukwaani wa kwanza.
Kwa kuwa Diamond ndiye msanii mkubwa katika tamasha hilo basi angepewa fursa ya kupanda jukwaani wa kwanza.
Kikosi cha Mondy kilisisitiza kwamba msanii wao anapaswa kutumbuiza mbele ya Willy Paul.
Willy Paul alikataa na baadaye wakamvamia na kumwondoa kwa nguvu huku akilia.
Baadaye Diamond alipanda kujwaani lakini mashabiki wakaita Willy Paul na kulazimika kuingia mitini.
Live kwenye steji Willy Paul alikataa kabisa kutumbuiza wimbo ambao allimba na Rayvanny unaojulikana kwa jina “Mmmh”, wimbo ambao ulifanya vizuri sana hapa Tanzania miaka 5 iliyopita na ndio wimbo uliomtambulisha sana Willy Paul hapa Tanzania.
Dj alipoweka huwo wimbo Willy Paul alisema “Dj toa hiyo Takataka weka wimbo mwingine”