Wakaazi wa Mkocheni, Taveta wabaki bila Makao

Share this story

Zaidi ya wakazi 300 wa Mkocheni eneo bunge la Taveta kaunti ya Taita Taveta wamejipata bila makao baada ya nyumba zao kubolewa usiku wa kuamka Jumapili tarehe 5 octoba, baada ya watu wasiotambulika kuingia eneo hilo na kubomoa nyumba zao usiku.

Ubomoaji wa nyumba huo umetokana na mgogoro wa ardhi ambao umedumu kwa muda mrefu.
Wakaazi hao wanaosemekana ni maskwota walibaki kutazama majumba yao yakibomolewa bila usaidizi. Hata hivyo kumekuwa na kesi kotini ya mzozo wa shamba hilo kwa mda mrefu.


Share this story

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Previous post Ruto announces review of ID replacement fee to ensure voter registration access
Next post Obinna fires back at claims he sacrificed Shalkido