BURUDANI VIDEO IKO JIKONI, Mko tayari kwa kilipuzi? – Mlolwe Classic .
Msanii Mlolwe Classic asema video ya ngoma yake ya Burudani iko jikoni. Kupitia ukurasa wa facebook, Msanii huyo aliweza kuwafahamisha mashabiki wake kuwa hivi karibuni...
Riyad Mahrez kurejea Man city baada ya Algeria kuaga AFCON mapema
Mabingwa watetezi wa AFCON walipokea kichapo kutoka kwa timu ya Ivory coast kwa kutandikwa mabao 3-1 na kubanduliwa kwa mashindano ya AFCON. Ushindi dhidi ya...
MARUFUKU YA KUUZA VYUMA CHAKAVU NCHINI KENYA
Rais Uhuru Kenyatta ametoa amri ya kusitishwa kuuzwa kwa vyuma chakavu nchini Kenya hadi mipango kamili itakapo wekwa. Raisi aliagiza kutozwa malipo ya uhaini kwa...
Huzuni na Simanzi imewakumbuka wafanyikazi na wasikilizaji wa Capital FM baada ya Alex Nderi almaarufu kama DJ Lithium kuaga dunia baada ya kunywa Sumu ya Panya akiwa ofisini.
Huzuni na Simanzi umewakumbuka wafanyikazi na wasikilizaji wa Capital FM baada ya Alex Nderi almaarufu kama DJ Lithium kunywa Sumu ya Panya akiwa ofisini. Aliipenda...
Mameneja tisa wa Kenya Power sasa watazuiliwa kwa siku nane ili kuruhusu polisi kukamilisha uchunguzi wao kuhusu madai ya hujuma.
Washukiwa hao walikamatwa siku ya Jumanne kuhusiana na madai ya kuhujumu usambazaji wa umeme ambao uliathiri sehemu nyingi kwa siku mbili mfululizo wiki iliyopita. Kulingana...
MC Jessy (Muthomi) joins UDA to Mr Muthomi will contest for the South Imenti parliamentary seat.
MC Jessy (Muthomi) joins UDA to Mr Muthomi will contest for the South Imenti parliamentary seat. Deputy President William Ruto welcomes Jasper Muthomi AKA MC...