Gavana anayeondoka wa Mombasa Hassan Joho na Gavana Teule wa Abdullswamad Shariff Nassir wapeana haki miliki ya Ardhi kwa wakazi wa Likoni Block 203
Gavana anayeondoka wa Mombasa Hassan Joho na Gavana Teule wa Abdullswamad Shariff Nassir wapeana haki miliki ya Ardhi kwa wakazi wa Likoni Block 203 kupitia...
Kata Ya Mata: Safari ya mwisho ya aliyekuwa mjumbe wa bunge la kaunti Marehemu Nobert Chanzu Khamadi
Hali ya huzuni na majonzi ilifunika eneo la Cess, kata ya Mata, kaunti ya TaitaTaveta katika safari ya mwisho ya kumuaga aliyekuwa mjumbe wa bunge...
Naomi Asema Bye! Bye! kwa siasa za Taveta, Amuunga mkono Mh.Bwire
Aliyekuwa mbunge wa Taveta mh. Naomi Shabani amesema kwanza amejiondoa rasmi kwa siasa za Taveta na hatasimama tena kuwania ubunge wa Taveta mwaka wa 2027....
Matiang’i Atangaza Likizo Kakamega, Mombasa na Maeneo Mengine Yatakayo Kuwa na Uchaguzi
Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang'i ametangaza siku ya Jumatatu, Agosti 29 kuwa sikukuu ya kitaifa katika maeneo ambayo uchaguzi unatazamiwa kufanywa. Hii ni...
Andrew Mwadime Sworn In As 3rd Governor TaitaTaveta County
Andrew Mwadime with his running mate Christine Kilalo took oth of office today on 25th August, 2022 to become the 3rd governor of TaitaTaveta County....