Viongozi wa UDA Taveta waongoza sherehe ya kusherekea ushindi wa Ruto
Viongozi wa UDA na mashabiki wa muungano wa UDA siku ya leo tarehe 17 mosi, waliongoza sherehe ya kusherekea ushindi wa Wiliam Ruto kama raisi...
Joho Akabidhi Mamlaka Kwa Gavana Abdulswamad.
Aliyekuwa gavana wa Mombasa Hassan Joho siku ya leo alipeana mamlaka rasmi kwa mrithi wake Abdulswamad Nassir. Joho alihudumu kwa mihula miwili tangu kuchukua uongozi...
Ruto kurudisha shughuli za Bandari Mombasa
Rais William Ruto leo, Jumanne, Septemba 13 alithibitisha ahadi yake ya kurejesha shughuli za bidhaa katika bandari ya Mombasa. Akizungumza wakati wa kuapishwa kwake, Mkuu...
Gavana anayeondoka wa Mombasa Hassan Joho na Gavana Teule wa Abdullswamad Shariff Nassir wapeana haki miliki ya Ardhi kwa wakazi wa Likoni Block 203
Gavana anayeondoka wa Mombasa Hassan Joho na Gavana Teule wa Abdullswamad Shariff Nassir wapeana haki miliki ya Ardhi kwa wakazi wa Likoni Block 203 kupitia...
Kata Ya Mata: Safari ya mwisho ya aliyekuwa mjumbe wa bunge la kaunti Marehemu Nobert Chanzu Khamadi
Hali ya huzuni na majonzi ilifunika eneo la Cess, kata ya Mata, kaunti ya TaitaTaveta katika safari ya mwisho ya kumuaga aliyekuwa mjumbe wa bunge...