Zaidi Ya Wahudumu Wa Bodaboda 100 Eneo La Marungu Kufaidi Mafunzo Ya Udereva
Zaidi Ya Wahudumu Wa Bodaboda 100 eneo la Marungu, kauti ya TaitaTaveta, Kufaidi Baada Automobile Association of Kenya almaarufu AA kwa ufadhili wa shirika la...
Cha Mackenzie Bado Jikoni, Mahakama Yakataa Kumwachilia Kwa Dhamana
Mahakama ya Mombasa imekataa kutoa dhamana kwa kiongozi wa kidini Paul Mackenzie pamoja na wazazi 38 wa watoto waliookolewa kutoka msitu wa Shakahola, kwa sababu...
TTC County Launch 18M Countywide ECDE Feeding Programme
TaitaTaveta deputy governor, Christine Saru Kilalo, has today launched this year's county ECDE feeding programme to benefit over 12,000 learners spread across 321 learning institutions...
Afisa wa kaunti ya Taita Taveta akamatwa kwa madai ya ubadhirifu
Afisa mkuu wa kaunti ya Taita Taveta amekamatwa na maafisa wa upelelezi wa EACC. Duru za kuaminika zinasema mshukiwa huyo anasindikizwa hadi katika Afisi ya...
𝐃𝐀𝐕𝐈𝐃 𝐖𝐀𝐍𝐘𝐀𝐌𝐀, 𝐁𝐄𝐊𝐈 𝐂𝐇𝐈𝐏𝐔𝐊𝐈𝐙𝐈, 𝐀𝐌𝐄𝐉𝐈𝐔𝐍𝐆𝐀 𝐍𝐀 𝐊𝐈𝐊𝐎𝐒𝐈 𝐂𝐇𝐀 𝐊𝐖𝐀𝐍𝐙𝐀 CHA BANDARI
David Wanyama, mwenye umri wa miaka 16, amepandishwa cheo kutoka Bandari Youth FC., na kujiunga na kikosi cha kwanza cha timu ya Bandari.
Mtoto Ametelekezwa Katika Kituo Cha Soko Huko Taveta
Mapema Alhamisi asubuhi mtoto mchanga alipatikana akiwa ametelekezwa katika kituo cha Soko la Njukini eneo bunge la Taveta. Mtoto huyo wa kike, ambaye umri wake...