Charity Kaluki NgiluĀ ajiondoa kwa kinyang’anyiro cha ugavana katika kaunti ya Kitui
Gavana wa Kitui Charity Ngilu hatatetea kiti chake katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Agosti 9. Uamuzi wa Ngilu kujiondoa katika kinyang'anyiro cha ugavana uliwekwa wazi...
MWANDISHI ALIYEANDIKA KITABU CHA JINSI YA KUMUUA MUME, AKUTWA NA HATIA YA MAUAJI YA MMEWE NA KUHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA.
Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni kuna mwamamke mmoja ambaye ni mwandishi wa kitabu chenye jina lenye maana sawa na kusema ''Jinsi ya kumuua...
RHYNO : HATUWEZI KUTAJA UGONJWA UNAOMSUMBUA PROFESA JAY NI JAMBO LA FARAGHA
Black Rhyno ambaye ni Msemaji wa Familia ya Profesa Jay amesema hawawezi kutaja ugonjwa unaomsumbua Profesa Jay kama wengi wanavyotamani kufahamu kwani ugonjwa ni jambo...
Samuel Eto’o alikataa vikali ombi la Matip la kutaka aitwe tena kwenye timu ya taifa ya Cameroon kwa Kombe la Dunia
Samuel Eto'o alikataa vikali ombi la Matip la kutaka aitwe tena kwenye timu ya taifa ya Cameroon kwa Kombe la Dunia litakalo fanyika nchini Qatar...
Timu ya Kandanda ya wanawake, Serengeti girls, yafuzu kombe la Dunia, India 2022
Timu ya wanawake ya serengeti wenye chini ya miaka 17 yafuzu kucheza kombe la dunia mwaka wa 2022 litakalo andaliwa India Kupitia ukurasa wa instagram,...
Harmonize amfanya Kajala kuwa CEO na Meneja Wa KondeGang
Msanii Rajab Abdul Kahali almaarufu kama HarmonizeĀ amefanya marekebisho kwa uongozi wa lebo yake ya muziki ya konde music worldwide ili kumwezesha mpenzi wake Frida...