B Classic Apoteza Umiliki Wa YouTube Channel Kwa Management
Msanii Dennis Manja, jina la stage B Classic kwa mara nyingine tena amepoteza umiliki wa YouTube channel yake, ikichukuliwa na management. Msanii huyo kwa mara...
Naibu Rais, Rigathi Gachagua amekana madai ya kumtaka Rais William Ruto kumpa Ksh. Bilioni 8
Naibu Rais, Rigathi Gachagua amekana madai ya kumtaka Rais William Ruto kumpa Ksh. Bilioni 8 (takriban Tsh. Bilioni 168) ili akubali kuachia nafasi hiyo kutokana...
Newcastle Yagomea Man City Kwa Sare Ya 1-1
Man City imeshindwa kupata ushindi kwenye mchezo wake wa pili mfululizo wa Ligi kufuatia sare ya 1-1 dhidi ya wenyeji Newcastle United katika dimba la...
Al Ahly SC ya Misri Imetinga Hatua Ya Makundi ya Ligi Ya Mabingwa Africa
Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly ya Misri imetinga hatua ya makundi ya Ligi hiyo kufuatia ushindi wa jumla wa 6-0 dhidi...
Pigo kwa Man City : Rodri atakuwa nje kwa muda mrefu kutokana na jeraha baya la goti
Manchester City imepata pigo kubwa baada ya ripoti kuibuka kuhusu jeraha alilopata Rodri kwenye sare na Arsenal. Habari mbaya mno kwa bingwa mtetezi wa Premier...
Kamanda mkuu wa Hezbollah auawa katika shambulizi la Israel huko Beirut
BEIRUT: KUNDI la Hezbollah la Lebanon limethibitisha kuuawa kwa wanachama wake 16 wakiwemo kiongozi mwandamzi Ibrahim Aqil na kamanda mwingine Ahmed Wahbi katika shambulio la...