Hali Ya Ati Ati Yashuhudiwa Mpaka wa Njukini na Elerai
Hali ya ati ati imetokea enoe la kijiji C Njukini kwenye mpaka wa Elerai na Njukini kati ya jamii mbili zinaishi eneo hilo.
Awali kulitokea mapigano makali kati ya jamii ya Wamasai na Wakamba, hali ambayo ilipelekea watu kaumia na uharibifu wa mali.
Vyombo vya usalama viliweza kufika eneo hilo ili kudhibiti hali na kurejesha amani kati ya jamii zinazohusika.
Wakaazi wametoa wito kwa viongozi wa upande hizo mbili kutafuta suluhu la mzozo malumbano hayo.


