Wakili Bwire Super Cup Yarejea Rasmi.
Mbunge wa Taveta Wakili Bwire ametangaza kurejea kwa Wakili Bwire Super cup.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa facebook mbunge huyo ametangaza kurejea kwa mashindano hayo ya kandanda kuanzia siku ya Jumamosi.
Baadhi ya team zitakazo ingia mashindano hayo ni pamoja na Mata FC, Mkocheni, Tangine, Kimundia FC, Muungano FC, Mwangaza FC
“So, I played for Mata City and Waziri Kyongo played for Mkocheni FC.
Let me tell you, these boys made me run for a record 20 minutes and I touched the ball twice
Mata City won, and Mkocheni showed pure class, and we had a beautiful day.
We gave all the teams jerseys and soccer balls.”
PICHA ZAIDI