Mombasa Yashuhudia Mvua Kubwa Ya Mafuriko
Mvua kubwa iliyonyesha Alhamisi usiku ilisababisha mafuriko yaliyokumba barabara kuu za Mombasa likiwemo daraja jipya la Makupa. Barabara kuu, ambayo pia inaunganisha Nairobi, iliwaacha wasafiri...
Familia Yaomba Muziki Wa Ali B Kuacha Kuchezwa Baada Ya Kifo Chake.
Baada ya familia kutoa ilani kwa vyombo vya habari,madjs na yeyote yule kucheza ngoma za mwendazake Ally B ambaye aliweza kustiriwa jana 2 Novemba,hisia mseto...